[14:44, 23/10/2021] +255 764 484 645: MECA. Muyobozi environmental conservation association, ni Asasi ya kijamii yenye usajili namba UDC/CBO/S/09/2020/2021.Asasi hii ipo wilaya uvinza mkoani kigoma tarafa ya ilagala kata ya mwakizega Kijiji Cha mwakizega makao makuu yapo Muyobozi.tunashugulika na uhifadhi wa mazingira msituni na ziwa Tanganyika tuna dhibiti uvuvi haramu wa makokoro , monofilament,uvuvi wakatuli, na mtimbo,pia Meca Ina jumla ya vikundi (8) vya vinavyo Fanya Doria ya msituni na ziwani kati ya vikundi hivi tuna vikundi shirikishi jamii KAZI yake no ukusanyaji wa Taarifa na takwimu sahihi kutoka kwa wavuvi,wajeshi, wenyewe .Ukusanyaji wa Taarifa hizi na Takwimu zitaisaidia serikali kupitia idara ya uvuvi kuonyesha mchango mkubwa unao changiwa na wavuvu wakike na wakiume.
[18:57, 23/10/2021] +255 764 484 645: Muyobozi environmental conservation association (meca).
S l p 12 uvinza
Kijiji Cha mwakizega/ Muyobozi
Kigoma.simu 0764484645
No comments:
Post a Comment