Thursday, December 30, 2021

Muyobozi environmental conservation



 

Muyobozi environmental conservation















meca, imekuwa mstari wa mbele  katika kushughulikia maswala ya balehe kwa vijana dhidi ya dawa za kulevya na HIV. Kusaidia watoto yatima nawenye mazingira magumu. Katika wilaya ya Uvinza
 

kitalu cha miti na miche ya matunda kilicho oteshwa na mfuko wa asasi yetu. Miche jumla 10000