Wednesday, October 27, 2021

 Katika uhifadhi wa mazingira ni pamoja na kuka mata zana za uvuvi haramu (kokoro)  ziwa Tanganganyika.

                           




Huu ndiyo wavu wa kokoro, uvuvi huu huvua samaki wachanga nakuharibu kabisa mayai ya samaki yalio kwenye viota.

                 



Tuesday, October 26, 2021


 [14:44, 23/10/2021] +255 764 484 645: MECA. Muyobozi environmental conservation association, ni Asasi ya kijamii  yenye usajili namba UDC/CBO/S/09/2020/2021.Asasi hii ipo wilaya uvinza mkoani kigoma tarafa ya ilagala kata ya  mwakizega Kijiji Cha mwakizega makao makuu yapo Muyobozi.tunashugulika na uhifadhi wa  mazingira  msituni na ziwa Tanganyika tuna dhibiti uvuvi haramu wa makokoro , monofilament,uvuvi wakatuli, na mtimbo,pia Meca Ina jumla ya vikundi (8) vya    vinavyo Fanya Doria ya msituni na ziwani kati ya vikundi hivi tuna vikundi shirikishi jamii KAZI yake no ukusanyaji  wa Taarifa na takwimu sahihi kutoka kwa wavuvi,wajeshi, wenyewe .Ukusanyaji wa Taarifa hizi na Takwimu zitaisaidia serikali kupitia idara ya uvuvi kuonyesha mchango mkubwa unao changiwa na wavuvu wakike na wakiume.


[18:57, 23/10/2021] +255 764 484 645: Muyobozi environmental conservation association (meca).

S l p 12 uvinza 

Kijiji Cha mwakizega/ Muyobozi 

Kigoma.simu 0764484645


kitalu cha miti na miche ya matunda kilicho oteshwa na mfuko wa asasi yetu. Miche jumla 10000