Tuesday, September 27, 2022

kitalu cha miti na miche ya matunda kilicho oteshwa na mfuko wa asasi yetu. Miche jumla 10000

mkutano wa hadhara wa uhamasishaji  utunzaji mazingira asasi ya meca kwakutumia michango yetu kama {CBO}

valunteer wa asasi ya  {meca} wakamata mbao na kuziripotisha kwenye ofisi ya mtendaji wa kijiji
 
  hawa ni akina mama waliokutwa wakikata kuni kwenye hifadhi ya msitu wa asasi ya {meca}

kitalu cha miti na miche ya matunda kilicho oteshwa na mfuko wa asasi yetu. Miche jumla 10000