wanawake wajasiliamali waliowezeshwa na asasi ya Meca. Wanunua dagaa kwa wavuvi na kwenda kuziuza kwenye masoko mbalimbali
kitalu cha miti na miche ya matunda kilicho oteshwa na mfuko wa asasi yetu. Miche jumla 10000